News and Events

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein


na mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo (katikati) wakiwa katika mazungumzo wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha,(kushoto) Mke wa Balozi Bibi. Meylin Suarez pia Afisa Mkuu wa Mambo ya Nje,daraja la Pili (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein