News and Events

Uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwaangalia wafanyakazi wa Shirika la ZSTC wakitoa uchafu katika Karafuu zinazotayarishwa kwa mauzo ambazo huingizwa katika chupa na kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo wakati alipotembelea kazi hizo katika uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee,

Uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar