Publications

01
Feb
2012

Ripoti ya Tume ya kuchunguza Ajali ya kuzama kwa Meli ya M V. Spice Islander 1


Usiku wa kuamkia tarehe 10/09/2011 wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla walipokea kwa masikitiko, huzuni na majonzi makubwa taarifa ya kuzama kwa meli ya MV.Spice Islander I katika mkondo wa Nungwi ikiwa safarini kuelekea Wete Pemba.Taifa la Tanzania lilipata msiba mkubwa…

Read More Attachment: attachment RIPOTI_YA_kuzama_kwa_MV_SPICE_ISLANDER_01
25
Jan
2012

Hutuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Afisi ya Raisi na MBLM Z’bar 2011 - 2012


Shukrani zangu za dhati nazitoa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri katika Ofisi yake yaani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Read More Attachment: attachment budget_2011_2012

Subscribe to Update

About the President's Office


Dr. Ali Mohamed Shein

H.E. Dr. Ali Mohamed Shein
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council


 MEMBERS LOGIN

WEBMAIL LOGIN