Publications - Publications

31
Dec
2012

Salamu za Rais wa Zanzibar katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2013


SALAMU ZA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN
KATIKA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2013
Ndugu Wananchi,
Tuna wajibu wa kumshukuru Mwenyezi Mungu (SW). Mwingi wa rehema na utukufu kwa kuendelea kuturuzuku neema ya uhai…

Read More
05
May
2012

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM Mh. DK.Ali Mohamed Shein,katika uzinduzi wa Mtandao wa 3G


Mheshimiwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano;
Waheshimiwa Mawaziri,
Mkuu wa Mkoa wa Mjini na Magharibi.
Mwenyekiti ya Bodi ya Wakurugenzi ya Zantel pamoja na Wakurugenzi na Watendaji wa Zantel;
Wageni Waalikwa;
Mabibi na Mabwana.

Read More Attachment: attachment 3G
01
Feb
2012

Muhtasari wa Ripoti ya Tume ya kuchunguza ajali ya kuzama kwa Meli ya MV Spice Islanderi


Mnamo saa 7 za usiku wa Ijumaa tarehe 9/09/2011 meli ya MV Spice Islander I ikiwa na watu 2470 na tani za mzigo zisizojuilikana ilizama katika mkondo wa bahari ya Nungwi ikiwa safarini kuelekea Wete Pemba.

Katika ajali hiyo jumla ya watu 203 walifariki na maiti zao kupatikana…

Read More Attachment: attachment MUHTASARI_WA_RIPOTI_YA_KUZAMA_KWA_MV_ISL_02

Subscribe to Update

About the President's Office


Dr. Ali Mohamed Shein

H.E. Dr. Ali Mohamed Shein
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council


 MEMBERS LOGIN

WEBMAIL LOGIN