Publications - Reports

12
Jan
2016

Hotuba ya Rais Dk.Ali Mohamed Shein,katika maadhimisho ya Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar


HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, AMAAN STADIUM TAREHE 12 JANUARI, 2016

Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli;
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More Attachment: attachment sherehe
01
May
2015

Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk,Shein katika kilele cha mei mosi.


Mheshimiwa Waziri wa Nchi (OR) Kazi na
Utumishi wa Umma,

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama Huru vya
Wafanyakazi Zanzibar,

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,

Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Waziri mliohudhuria,

Waheshimiwa Wabunge…

Read More
23
Jan
2014

Taarifa ya Miaka 50 ya Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar


Tudumishe amani,Umoja na Maendeleo ambayo ni matunda ya mapinduzi yetu.
Mapinduzi Daima

Read More Attachment: attachment KITABU_CHA_TAARIFA_YA_MIAKA_50_OFISI_YA_RAIS_IKULU_FINAL
15
Aug
2013

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar na MBLM,kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.


Ndugu Wananchi,

Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mara nyengine kwa kutujaalia kufunga na kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na tukaweza kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri kwa furaha, amani na utulivu. Namuomba Mwenyezi Mungu (SW) azikubali ibada zetu na atuzidishie…

Read More Attachment: attachment miaka_50
27
Dec
2012

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar yakabithi ripoti ya miaka mitano kwa Rais


WAJUMBE wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar wanaomaliza muda wao wa utumishi,  wamemkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ripoti ya miaka mitano ya Tume ya Uchaguzi katika kipindi cha utumishi wao.
Akikabidhi ripoti hiyo, Mwenyekiti…

Read More

Subscribe to Update

About the President's Office


Dr. Ali Mohamed Shein

H.E. Dr. Ali Mohamed Shein
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council


 MEMBERS LOGIN

WEBMAIL LOGIN