Publications - Reports

15
Aug
2013

Risala ya Mhe:Rais wa Zanzibar na MBLM,kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.


Ndugu Wananchi,

Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mara nyengine kwa kutujaalia kufunga na kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na tukaweza kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitri kwa furaha, amani na utulivu. Namuomba Mwenyezi Mungu (SW) azikubali ibada zetu na atuzidishie…

Read More Attachment: attachment miaka_50
27
Dec
2012

Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar yakabithi ripoti ya miaka mitano kwa Rais


WAJUMBE wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar wanaomaliza muda wao wa utumishi,  wamemkabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ripoti ya miaka mitano ya Tume ya Uchaguzi katika kipindi cha utumishi wao.
Akikabidhi ripoti hiyo, Mwenyekiti…

Read More
22
Nov
2012

Ripoti ya Tume ya kuchunguza ajali ya kuzama kwa Meli ya MV. SKAGIT


Siku ya tarehe 18/07/2012 ikiwa ni miezi kumi tu baada ya kutokea ajali mbaya ya kuzama kwa meli ya MV Spice Islander I ambayo ilipoteza maisha ya watu 1,529, wananchi wa Tanzania walipokea tena kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa ya kuzama kwa meli ya MV.Skagit iliyotokea karibu…

Read More Attachment: attachment Ripoti_ya_MV_Skagit_(final)
11
Oct
2012

Dk.Shein amekabidhiwa ripoti ya kuzama kwa Meli ya MV Skagit


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amekabidhiwa ripoti ya kuzama kwa Meli ya MV Skagit na Tume ya Uchunguzi wa ajali hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jaji Abdulhakim Ameir Issa.Mara baada ya kupokea ripoti, Rais Dk. Shein alitoa…

Read More

Subscribe to Update

About the President's Office


Dr. Ali Mohamed Shein

H.E. Dr. Ali Mohamed Shein
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council


 MEMBERS LOGIN

WEBMAIL LOGIN