Publications

Hutuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Afisi ya Raisi na MBLM Z’bar 2011 - 2012


Shukrani zangu za dhati nazitoa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri katika Ofisi yake yaani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Attachment: attachment budget_2011_2012