Habari na Matukio

Dk.Shein amemuapisha Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha kuzuiya Magendo KMKM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Kapteni Khamis Simba Khamis kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM). Soma Zaidi

UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 4(a) cha Sheria ya Usajili ya Magazeti na Vijarida Namba 5 ya Mwaka1988, Soma Zaidi

Wanafunzi waliopata Daraja la kwanza wa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita wamepongezwa na Dk.Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amewapongeza wanafunzi wa Zanzibar waliopata Daraja la kwanza wa Kidato cha Nne na Kidato cha Sita na kuwaeleza kuwa elimu haina… Soma Zaidi

UTEUZI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Viongozi katika Taasisi Mbali Mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:- Soma Zaidi

Wawekezaji wa sekta ya utalii kutoka nchini Saud Arabia wamekaribishwa kuja kuekeza Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji wa sekta ya utalii kutoka nchini Saud Arabia kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa zilizopo hapa nchini. Soma Zaidi