Ikulu Blog

Dk. Shein amehutubia Siku ya Sheria Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waheshimia Majaji wa Mahakama Kuu Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya zamani vya Baraza la Wawakilishi kikwajuni Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akionesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • BAADHI ya wananchi na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akihutubia hafla hiyo.
  • BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar wakiwa wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla hiyo, katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Haji Ussi Gavu akimuwakilisha Waziri wa Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Siku ya Sheria Zanzibar kabla ya kumkaribisha mgeni rasimin kuhutubia hadhara hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akinesha Vitabu vya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • KIKUNDI cha Sanaa cha Makombora Black Root wakionesha mchezo wa kuigiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • KIKUNDI cha Sanaa cha Makombora Black Root wakionesha mchezo wa kuigiza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafunzi wa Skuli za Sekondari Zanzibar wakishiriki Siku ya Sheria Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia hadhara hiyo.
  • NAIBU Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Muumin Khamis Omar,akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • RAIS wa Chama cha Mawakili Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.
  • JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mahakama Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar.
  • JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mahakama Zanzibar wakati wa hafla ya maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.