Ikulu Blog

Dk.Shein amewatunuku wahitimu wa Chuo Cha Taifa Suza.

  • Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Zanzibar kuhudhuria hafla ya mahafali ya 13.
  • MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatib, alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu Zanzibar kuhudhuria mahafali ya 13 ya SUZA.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha SUAZA Profesa Idris Ahamad Rai, baada ya kuufungua ukumbi wa Mkutano wa Dk. Ali Mohamen Shein SUZA.wa hafla ya mahafali ya 13 yaliofanyika katika ukumbi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuufungua Ukumbi wa Mikutano waChuo Cha Taifa Zanzibar (SUZA) uliopiwa jila la Dk. Ali Mohamed Shein.
  • MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi la Jengo la Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Zanzibar.
  • WAHITIMU Chuo Kikuu cha Taiza Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakielekea katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein,Tunguu.
  • WAKUFUNZI na Wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 13 ya SUZA wakielekea katika ukumbi wa mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu.
  • MKUU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kwenye mahafali ya 13 yaliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Mikoa huo kila ifikapo mwezi 27 ya Mfungo wa Ramadhan.