Dk. Shein arejea nchini Kutoka Indonesia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteremka katika Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mwanawema Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe wake kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt. Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Suza kuanzisha uhusiano na ushirikiano na Chuo cha Utalii cha Bali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara alipotembelea katika chuo hicho kiliopo Bali Indonesia akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wa kati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara
Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Utalii katika Mji wa Bali Nchini Indinesia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Chuo hicho alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein * walipotembelea jana wakiwa katika ziara ya *mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo Bali,Indonesia Dr Dewa Gede Byomantara (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika Chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuuliza suala Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo katika Mji wa Bali, Indonesia Dr.Dewa Gede Byomantara (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Kofia ya Dardhi ya Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Byomantara alipotembelea katika Chuo hicho pamoja na ujumbe wake alipokuwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa chuo cha Utalii kiliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara walipokuwa wakiangalia ramani ya majengo ya Chuo jana alipotembelea akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Discovery Kartika Plaza iliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia Bw.James Coasta,C.H.A. wakati akiondoka katika Mji wa Bali Nchini Indonesia baada ya kuamaliza ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Mji huo ambapo jana aliondoka kurudi Jakarta akiendelea na ziara kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla, na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Viungo vya Zanzibar Bw.James Coasta,C.H.A. Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Discovery Kartika Plaza iliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia alipokuwa akiondoka jana katika Mji huo kuelekea Jakarta akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla, na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu (katikati) Spika wa Baraza la Wawailisi Zanzibar Zubeir Ali Maulid(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan(kulia) Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim na Makamo mwa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakismama wakati wimbo wa Tifa ukipigwa katika Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) kumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,
Dk.Shein,ameondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini akiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
Viongozi mbali mbali wakimpungia mkono wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
Dk.Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abduhamid Yahya Mzee(kulia) alipokuwa akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018,kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waziri Issa Haji Ussi Gavu na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salmin Amour Abdulla.
Viongozi katika Idara zilizochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018 ,kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni (kushoto) akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Washauri wengine wa Rais (kulia)Mhe.Burhani Saadat Haji Mshauri wa Rais Ardhi na Ujenzi na Dkt.Mauwa Daftari Mshauri wa Rais Pemba.
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Dk.Shein amekutana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala ,za Mikoa,Serikali za Mitaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Maafisa Tawala na Viongozi mbali mbali wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Maafisa wa Vikosi wa SMZ wakifuatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Ndg,Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani).
Makamanda na Maafisa wa Vikosi wa SMZ wakifuatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Ndg,Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani).
Uongozi wa Wakuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Ndg,Radhia Rashid Haroub alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa.