Ikulu Blog

Kilele cha siku ya Sheria Zanzibar

Maadhimisho ya kilele cha Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi Mkoani Mara.

Rais wa Zanzibar akiagana na Viongozi,mbali mbali katika Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Mkutano wa upangaji vipau mbele wa uaandaji wa mipango ya maendeleo Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Said Seif Mzee kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango.