Ikulu Blog

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

  • MWENYEKITI WA Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya kuwasili katika katika ukumbi wa mkutano wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Mkoani Dodoma leo 19/8/2020, na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan.
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. kilichofanyika 19/8/2020,Mkoani Dodoma
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. kilichofanyika 19/8/2020, Mkoani Dodoma
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapoinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Mjumbe wa wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe.Balozi Seif Ali Idd, wakiwa wamsimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Mkutano (hayupo pichani) kuongoza Kikao hicho kilichofanyika Mkoani Dodoma 19/8/2020
  • MWENYEKITI WA Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi baada ya kuwasili katika katika ukumbi wa mkutano wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Mkoani Dodoma leo 19/8/2020, na (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Dkt.John Magufuli ameongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Jijini Dodoma.

  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taiufa kinachofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein
  • WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, wakishangilia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa Kikao hicho kilichofanyika leo 20/8/2020.
  • WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 20/8/2020.
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akifungua Kikao cha Halmashauriu Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma leo 20-8-2020.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akitete jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
  • KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akizungumza kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, kufungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
  • WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-8-2020, wa kwanza kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mhe. Mizengo Pinda.
  • WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa wamesimama wakati Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma, kuongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo 20-8-2020, wa kwanza kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mhe. Mizengo Pinda.
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ,akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM. kilichofanyika 19/8/2020,Mkoani Dodoma

Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee ,(kulia kwa Rais) wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, 17/8/2020 na (kulia kwa Katibu) Wazii wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akiwasilisha muktasari wa Ripoti ya Utekelezaji Mpango9 Kazi wa Ofisi yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na ( kulia) Mshau ri wa Rais Masuala ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Mhe. Burhan Saadat Juma.
  • Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Maulid, akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwake) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Kassim Ali.
  • MSHAURI wa Rais Masuala ya Sanaa na Utamaduni Mhe. Chimbeni Kheri, akisoma dua, wakati wa kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021. kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Mshauri wa Rais Masuala ya Historian a Mambo ya Kale Mhe.Ali Mzee Ali, akichangia wakati wa Kikao cha Utekelezai Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Mkurugenzi Idara ya Mawasiliano Ikulu Ndg.Hassan Khatib,akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa Kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,17/8/2020.
  • Washauri wa Rais wakifufuatilia Kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid, akisoma ripoti hiyo. (hayupo pichani)
  • Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbalimbali katika Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakifuatilia Kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi, kilichofanyika katika ukumbi wa IKulu Jijini Zanzibar, wakati ikiwasilishwa,kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.

Dk.Shein amekutana na Wizara ya Nchi Ofgisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nd,Yakout Hassan Yakout (katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Nd,Shaaban Seif.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Maalim Haroun Ali Suleiman (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020/2021katika kakao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abduhamid Yahya Mzee
  • Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akichangia katika katika kikao utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika leo patika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Dk. Mauwa Abeid Daftari
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi seif Ali Iddi.
  • Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Dk.Shein amekutana na Uongozi Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wakati wa Kikao cha siku moja kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe Shamata Shaame Khamis.
  • Maofisa katika Vikosi vya SMZ wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
  • Washauri wa Vikosi vya SMZ pamoja na Maafisa wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akiwa na Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, **katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
  • Maofisa wa Idara mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Wakurugenzi na Watendaji mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Uongozi cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,cha Utekelezaji Mpango kazi kwa mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Wakuu wa Mikoa mbali mbali na Viongozi wengine wakiwa katika kikao cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ cha Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ,kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,katika kakao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Katibu Mkuu Wizari wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub (katikati) akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mipango Sera Nd.Khalid Abdalla Omar.