Ikulu Blog

Utekelezaji wa haki za Binaadamu na Utawala Bora Zanzibar ni azma ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Mstaf Mathew Paua Mhina. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9/6/2020, akiwa na Ujumbe wake wa Makamishna wa Tume hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo (kulia kwa Rais) Jaji Mstaaf. Mathew Paua Mhina, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika leo 9/6/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Shein amewasili Zanzibar akitokea Pemba kwa ziara ya siku 3.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu.

Dk.Shein amewataka Viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu Wananchi juu ya maradhi ya KORONA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kuzungumza na Maofisa Wadhamini wa Wizara Pemba.
  • BAADHI ya Maofisa Wadhamini wa Wizara za Serikali Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chake chake Pemba wakati wa ziara yake Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake PembaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba

Dk.Shei ametembelea jengo linalotarajiwa kuwa la uchunguzi wa Virusi Binguni Wilaya ya Kati Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasa Salum Ali,alipowasili katika viwanja vya Taasisi hiyo Binguni Wilaya ya Kati Unguja kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamed.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar,lililoko katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati Unguja akielekea katika jengo hilo (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamme.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe Hamad Rashid Mohammed, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasac Salum Ali na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja 25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.

Dk.Shein amezungumza na Wasanii mbali mbali Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wasaniii wa kikundi cha sanaa waliomkaribisha leo kwa ngoma ya kibati mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (katikati) Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na salimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kulia) na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
  • Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali walioalikwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Wasanii wakongwe wakisimama wakati wa kutambulishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Mkutano na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizunmza na wasanii hao katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wasanii mbali mbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (kushoto) Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,na Msauri wa Rais mambo ya Utamaduni na Michezo Bw.Chimbeni Kheir Chimbeni (katikati)