Mktano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu alipowasili katika viwanja vya Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar leo katika ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA)
Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu akitoa hutuba yake ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku nne wa umuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe,Othman Chande Othman (kushoto) pamoja na Majaji na Viongozi mbali mbali wakiwa katika ufunguzi wa Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA alipokuwa akitoa Salamu za Jumuiya hiyo katika Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) ulioanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu (katikati) Spika wa Baraza la Wawailisi Zanzibar Zubeir Ali Maulid(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan(kulia) Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim na Makamo mwa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakismama wakati wimbo wa Tifa ukipigwa katika Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) kumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,
Dk.Shein afungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya chakula duniani viwanja vya Chamanangwe Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba , kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri.
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea banda la Maonesho la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar.(ZSTC) wakati wa hafla ya maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa Chuo Cha Mafunzo Zaameja.Khamis Seif, wakati akitembelea maonesho hayo katika Kitali cha Shamba la Mihindi na Mtama katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakitembelea banda la Maonesho la Kikundi cha Ulimwengu wa Miti Mirefu, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya ChakulaDuniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono Wananchi katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba wakati akitembelea maonesho ya Kilimo baada ya kuyafungua rasman leoakiwa na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri
BAADHI ya Wananchi Kisiwani Pemba wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wac Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia na kuyafungua maonesho hayo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Lulu wakati akitembelea banda la maonesho la Kikundi cha Tujikomboe cha Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar.Ali Abdalla Ali, akitowa maelezo wakati akitembelea banda la maonesho la Chuo cha Mafunzo viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza suali wakati akitembelea maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba akitembelea kitalu cha minazi.
Dk.Shein amezungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani, akiwa katika ziara yake Pemba.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Pemba.Mhe. Suleiman Sarahani alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammede Juma Pindua Wilaya ya Mkoani.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein,akiwapungia mkono Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani.
WAZEE wa CCM Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake na Wazee hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.
WAZEE wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akizungumza na Wazee hao katika ukumb wa Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoni Pemba.
MZEE Issa Nassor Issa akichangia wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CC Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.
Ufungaji wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu awamu ya tatu.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid Salum (kulia) akimkabidhi Cheti Mshiriki wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu Ndg. Rajab Abass Rajab, wakati wa ufungaji wa Mafunzo hayo yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Institute of Food & Fermentation Industrieskulia kwa Katibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Mr. Dong Jianhui, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MshirikiI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries,akitowa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wanafunzi kutoka katika Taasisi za Serikali na Binafsi yaliochukuwa wiki nne. wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MSHIRIKI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries,akitowa neno la shukrani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo hayo yaliowashirikisha Wanafunzi kutoka katika Taasisi za Serikali na Binafsi yaliochukuwa wiki nne.wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya China National Research Institute of Food & Fermantation Industries Mr. Dong Jianhui, akizungumza wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo ya Upishi na Ukarimu, yaliotolewa na Taasisi yake, hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mafunzo ya Ukarimu na Mapishi wakionesha kwa vitendo jinsi mafunzo hayo waliyoyapata kupitia Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries, wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WANAFUNZI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu wakifuatilia hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo yao katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yaliotolewa na Taasisi ya China National Institute of Food & Fermentation Industries, wakiwa katika picha ya pamoja na Vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na kufunga mazunzo hayo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg. Salum Maulid Salum akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation; Industries ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Dong Jianhui kulia akiwa na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Rais.
Dr.Shein amezungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Chake Chake Pemba.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Pemba, katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC kiwanda cha Makonyo Wawi, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndg.Yussuf Ali Juma na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi.
MWENYEKITI wa Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Chake chake Pemba.Ndg.Haji Hamad Kombo akizungumza kwa niaba wa Wazee wakati wa mkutano huo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha ZSTC Makonyo Wawi.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Pemba, katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC kiwanda cha Makonyo Wawi, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Ndg.Yussuf Ali Juma na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuiingia katika ukumbi wa mkutano wa Kiwanda cha Makonyo ZSTC Wawi,kushoto kwa Rais Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dr. Abdalla Juma Mabodi, Mke wa Rais wa Zanzibar.Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe.Balozi Amina Salum na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba. Ndg. Yussuf Ali Juma na Makamu Mwenyekiti wa UWT.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chake chake Pemba
WAZEE wa Wilaya ya Chake chake Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika ukumbi wa mkutano wa ZSTC Makonyo, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba na kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya hiyo
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza na Wazee wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba, kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Wazee hao katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.Dr.Abdalla Juma Mabodi, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba leo kuaza ziara yake Kisiwani Pemba, kushoto Makamu Mwenyekiti wa UWT.Bi.Thuwaiba Editon Kisasi.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mzee Ali Omar Abdalla baada ya kumaliza mkutano wake na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Pemba uliofanyika katika ukumbi wa kiwanda cha ZSTC cha Makonyo Wawi