Ikulu Blog

Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Mhe. Najma Giga.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Rais wa Tanzania pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdallah Juma Sadalla (Mabobi) wakiwa wamesimama wakipiga makifi baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar 11-12-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar, kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,pia ni Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
  • Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, wakisoma makabrasha ya ajenda za Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, 11/12/2018, chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
  • Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadalla (Mabodi) akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kufungua Kikao cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kiswadui Zanzibar 11-12-2018.
  • Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wakiwa mamesimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar,kilichofanyika tarehe 11/12/2017 Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na ujumbe wa UWT.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi. Thuwaiba Editon Kisasa, kulia Katibu Mkuu wa UWT,Bi.Queen Mlozi na kushoto Mwenyekiti wa UWT Bi.Gaudensia Kabaka, walipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi.Kabaka.10-12-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja huo Bi. Gaudensia Kabaka,Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi.Thuwaiba Editon Kisasa na Katibu Mkuu wa UWT.B. Queen Mlozi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano Ikulu wakati wa mazungumzo yao walipofika kujitambulisha.kwa Rais wa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania,(UWT) Bi. Gaudensia Kabaka,alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar,akiwa na Ujumbe wake wa Viongozi wa UWT.kulia Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaiba Editon Kisasa na Katibu Mkuu wa UWT.Bi.Queen Mlozi 10-12-2018.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na Balozi wa UAE nchini Tanzania Ikulu.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofiki Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kufanya mazungumzo nae Ikulu Zanzibar 10-12-2018,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozo wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha10-12-2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi Mpya ya UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar 10-12-2018.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Shein, azungumza na Balozi wa Korea nchini Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania,Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania,6-12-2018
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum-young, alipofika Ikulu Zanzibar kuaga na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar 6-12-2018.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya KOLON Nchini Tanzania Ndg.Tiger Lee, kushoto kwa Rais ni Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa Korea Nchini Tanzania Balozi Song Geum –young, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Nchini Tanzania,6-12-2018

Rais wa Zanzibar amezungumza na Ujumbe wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Growing Africa Agriculture (AGRA) wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Washirika wa Sekta ya Kilimo Tanzania, ukiongozwa na Mwakilishi wa FAO Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, ulipofika Ikulu 30/11/2018 kwa mazungumzo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuongozana na Ujumbe wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania kushoto Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washiriki wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr, Fred Kafeero akiwa na Mwakilishi wa UNIDO Tanzania,Mauritius na EAC.Mr. Stephen Bainous Kargbo, 30/11/2018
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr.Fed Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake wa Washirika wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Tanzania, kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania pia ni Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya Kilimo Tanzania Mr. Fed Kafeero, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mwakilishi wa FAO Nchini Tanzania Mr. Fred Kafeero, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake wa Washirika wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo Tanzania, kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar