Ikulu Blog

Kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja alipohudhuria katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja
  • Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
  • aadhi ya Viongozi na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,(kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Wananchi waliofariki katika ajali ya Meli MV Nyerere huko Mwanza,ilioyotokea tr 20 mwezi huu, (kushoto)

Uwekaji wa jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Kinuni.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar sherehe zilizofanyika leo,akiwepo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pemba Juma
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na Wanafunzi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sherehe zilizofanyika sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar,(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pemba Juma
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkandarasi wa Kampuni ya Ujenzi ya Salem Construction LTD Nd,Aziz M.Qurban (katikati) alipokuwa akitoa maelezo baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar
  • Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wanafunzi hao leo katika sherehe Skuli hapo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Wanafunzi katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sherehe zilizofanyika sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kushoto) Waziri Kiomgozi Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kijito Upele Mhe.Shamsi Vuai Nahodha na Naibu katibu Mkuu CCM Zanzibar Dk.Juma Abdala Sadala (wa pili kushoto)
  • Miongoni mwa madarasa mapya ya Skuli ya Sekondari ya Kinuni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,yaliyowekwajiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) sherehe zilizofanyika sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar

Dk.Shein amekutana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambilisha akiwa na ujumbe wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake.

Dk.Shein amezindua Ofiisi mpya Dunga ya Uimarishaji wa mfumo wa Wakal wa Usajili Matukio ya Kijamii.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban wakati wa uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika katika Ofisi mpya ya Wilaya Dunga Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja 04/-9/2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo ya kifundi kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban mara baada ya uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii na Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya Dunga uliofanyika katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein 04/-9/2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia)Makamo wa Pili wa rais Balozi Seif Ali Idii,Mama Mwanamwema Shein na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri (kushoto) 04/-9/2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuzindua jengo la Ofisi mpya za Wilaya -Dunga pamoja na uzinduzi wa Uimarishaji wa mfumo wa matukio ya kijamii uliofanyika leo katika Wilaya kati Mkoa wa Kusini Unguja 04/-9/2018.
  • Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi mbali mbali wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii katika hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) 04/-9/2018
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt.Hussein Khamis Shaaban (kulia) mara baada ya kuzindua Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii katika hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri. 04/-9/2018.
  • Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Dunga wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii katika hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) 04/-9/2018.
  • .Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii katika hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) 04/-9/2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Wilaya- Dunga na Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii katika hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaaban na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri 04/-9/2018.
  • Jengo jipya la Ofisi za Uimarishaji wa Mfumo wa Matukio ya Kijamii-Dunga katika Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, 04/-9/2018.

Dk.Shein amekutana na ujumbe wa BOT.

  • Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ulipofika Ikululu Mjini Zanzibar leo ukiongozwa na Gavana Prof Florens D.M Luoga (wa pili kuli),28 Aug 2018.
  • Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof Florens D.M Luoga alipofika Ikululu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake 28 Aug 2018.