Dk.Shein akutana na ujumbe wa Kampuni ya CRCC na CCECC kutika China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China Bw.Zhuang Shangbiao (kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara ya hapa Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China Bw.Zhuang Shangbiao (wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (katikati)pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara yao hapa Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China Bw.Zhuang Shangbiao (kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake (katikati) Mkalimani Bw.Julius Liu.
Uzinduzi wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi alipofika kulifungua Tawi hilo (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Dimani Kichama,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani leo mara baada ya kulifungua rasmi Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi).
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani.
Mkutano wa Mabalozi Wilaya ya Dimani (KICHAMA)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe,Mohamed Rajab na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Mfenesini CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (wa pili kulia),wakiimba Wimbo wa Mashujaa"Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa Mabaalozi Wilaya ya Mfenesini uliofanyika Jana katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa.
Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi ya CCM,Makatibu wa Kaskani wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Amani –Mkoa.
Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Amani -Mkoa (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Mhe,Mohamed Rajab na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala, alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dimani uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani- Mkoa.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dimani Mhe.Hussein Mjema(kimti) alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkoa wa Mahgaribi Kichama katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu wa Maskani wa Wilaya hiyo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Dimani baada ya kusomwa na Balozi Mwanakheri Iddi Ramadhan (kulia)katika mkutano wa Viongozi Mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM katika Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Waziri Kiongozi Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kijitoupelei Mhe.Shamsi Vuai Nahodha,(kulia) akifuata Mwenyekiti wa Wilaya ya Dimani CCM Hussein Mjema (kimti) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,wakiimba wa Mashujaa Wimbo wa "Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa mabaalozi Wilaya ya Dimani uliofanyika leo katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wakiimba Wimbo wa Mashujaa “Sisi Sote Tumegomboka” katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi (Kichama) uliofanyika katika Ukumbi wa CCM- Amani Mkoa mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia bMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina,Wenyeviti wa Matawi na Mkatibu wa Maskani wa Wilaya ya Dinami Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Amani Mkoa.
Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani Kichama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea Taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Amani kutoka kwa Fatma Kassim wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd, Salim Mussa Omar kutoka Chama cha CUF wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,Mwanaisha Abdalla Bakari kutoka Tawi la CCM Nyerere wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Twalib Ali Twalib.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduzi Nd,Juma Rajab Adam kutoka Tawi la CCM Mpendae wakati wa Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani akiwa katika ziara ya kumarisha Chama cha CCM (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Twalib Ali Twalib.
Mwanachama Mpya Nd.Salim Mussa Omar akila kiapo mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya Uwanachama wa Chama cha Mapinduizi CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa Kadi zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa Kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia Mabalozi wa Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini Kichama wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa Amani.
Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi piaMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguj
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Sauda Ramadhan Mpambalimoto mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina (Mabalozi), Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Kati baada ya kusomwa na Balozi Mkombe Vuai Khamis katika mkutano wa Viongozi Mashina (Mabalozi),Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali.
Mabalozi wa CCM wa Shehia mbali mbali katika Wilaya ya Kati wakinyoosha mikono Juu kuungamkono Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa Viongozi hao na Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Viongozi,Watendaji wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mabalozi wa Wilaya ya Kati wakiimba wimbo wa Taifa “Sisisote Tumegomboka” wakati wa mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mabalozi wa Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina (Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na Watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.