Ikulu Blog

Uzinduzi wa chanjo mpya dhidi ya Maradhi ya Saratani la mlango wa kizazi

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwenamwema Shein (kulia) alipokuwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan,
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) akionesha kichupa cha Dawa ya chanjo ya kama ishara ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akionesha Kadi ya Chanjo ya Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (kulia) baada ya kupatiwa Chanjo ya (HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (katikati) akipatiwa Chanjo ya(HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
  • Mwakilishi wa Shirika la Misaada la UNFPA Batula Abdia akitoa salamu zake katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico
  • Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  • Wauguzi kituo cha Afya Dunga na Wanafunzi wakiwa katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani).
  • Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Dk. Shein akutana na Ujumbe wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation wa China.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka C*hina Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka C*hina Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo.

Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid A. Karume kila mwaka tarehe 7 April baada ya kifochake,

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika l
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwaongoza Viongozi na Waislamu mbali mbali katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Fatma Karume (wa tatu kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kushoto) Mama Fatma Karume (katikati) na Wake mbali mbali wa Viongozi wakiwa katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
  • Akina Mama na Vijana wa Madrasa wakisoma Dua wakati wa Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja,

Dk.Shein amekutana na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchini Urusi na Rwanda

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu akiwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda akiwepo Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe Magufuli hivi karibuni.

Ujumbe wa Madaktari kutoka China

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiongoza timu ya Madaktari kutoka China.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (wa tatu kulia) wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (kushoto) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo* akiongoza timu ya Madaktari kutoka China (hawapo pichani).