Kongamano la kumbukumbu ya Rais wa kwanza wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara alipotembelea katika chuo hicho kiliopo Bali Indonesia akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wa kati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Khudhaima Mbwana Kilo wa Skuli ya Msingi ya Uzini alipokabidhi zawadi kwa washindi wa Insha katika Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Ali Makenika Ali wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba alipokabidhi zawadi kwa washindi wa Insha katika Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya baada ya kuzindua Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Hutuba yake ya Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu
Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo katika Mji wa Bali, Indonesia Dr.Dewa Gede Byomantara (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Kofia ya Dardhi ya Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Byomantara alipotembelea katika Chuo hicho pamoja na ujumbe wake alipokuwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuuliza suala Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Utalii katika Mji wa Bali Nchini Indinesia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Chuo hicho alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein * walipotembelea jana wakiwa katika ziara ya *mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa Hutuba yake ya Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu
Dk.Shein ametembelea eneo la Mpigaduri na Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa, itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo wa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi wakati walipofika eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Nd, Mustafa Aboud Jumbe (katikati) alipofika eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum alipotembelea eneo hilo linalotarajiwa kujengwa Mji Mpya wa kisasa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Siara Ubwa Mamboya (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Nd, Mustafa Aboud Jumbe (Kushoto) alipofika eneo la fukwe ya Bwawani wakati wa ziara maalum ya kutembelea eneo hilo sambamba na kutembelea Mpigaduri na Maruhubi eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Eneo la ufukwe wa Mpigaduri, Maruhubi linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Salama Aboud Twalib wakati alipotembelea Eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Ujumbe wa Baraza la Mapinduzi walifika kuangalia Alama Maalum za mipaka ya ujenzi wakati alipotembelea eneo la Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea Ufukwe wa Eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) wakati wa ziara maalum Rais alipotembelea Mpigaduri na Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo kutembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Bandari Mpya ya kisasa itakayojengwa na Kampuni ya Chek kutoka Nchini China
Dk. Shein amekutana na Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na aliofuatana nao
Dk.Shein akutana na ujumbe wa Huawei
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Huawei unaoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong (wa pili kulia) ujumbe huo ulipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Bw.Gao Mengdong, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao (hawapo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuonana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar wakati wa mazungumzo yao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Uturuki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Ali Davutaglu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuonana na Rais.
Dk.Shein awaapisha Viongozi Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Omar Hassaan Omar kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Utamaduni,Sanaa na iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Saleh Yussuf Mnemo kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia masuala ya Habari, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Khadija Bakari Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Idriss Musilim Hija kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Shaaban Seif .Balozi Mohammed kuwa Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Ali Khalil Mirza kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi. Maua Makame Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wanawake na Watoto anayeshuhulikia Masuala ya Kazi na Uwezeshaji,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Biashara na Viwanda katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Tahir M.K.Abdulla kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ahmad Kassim Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo,Maliasili Mifugo,na Uvuvi anayeshuhulikia Masuala ya Kilimo na Maliasili katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Mwanajuma Majid Abdalla kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Wanawake na Watoto anayeshuhulikia Masuala ya Wazee,Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar