Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameongoza Mkutano wa jukwaa la Kumi na mbili la Biashara Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa (SMIDA) Bw. Soud Said Ali, akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja 19-3-2023 Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 19-3-2023 Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Plastic Technology Enterprises Bw. Multala S.Juma, wakati akitembelea maonesho ya Wafanyabiashara Zanzibar, kabla ya kuongoza Mkutano wa Jukwaa la Kumi na Mbili la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja leo 19-3-2023.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo 15-3-2023 Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Kuzinduzi wa Maabara 4 Mpya za Kisasa za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf Nassor Majid, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubia Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais ) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, uzinduzi huo uliyofanyika 15-3-2023
MUONEKANO wa Jengo Jipya la Maabara la Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) lililoko katika maeneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Ugunja Jijini Zanzibar.
Balozi wa Morroco Nchini Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZINDUA MUONGOZO WA UWEKEZAJI ZANZIBAR NA MFUMO WA KIELETRONIKI WA (ZIPA ZANZIBAR
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA), wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar.Mhe. Mudrik Ramadhan Songa , wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023 Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais. Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga na Mkurugenzi Mtendaji wa (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, baada ya kuzindua Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) na Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023.
BAADHI ya Mawaziri na Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-3-2023
WAGENI waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA), wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
BAADHI ya Mawaziri na Wageni Waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kieletroniki wa (ZIPA ) sambamba na maadhimisho ya Siku ya Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-3-2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukurani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki (wa pili kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia katibu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti cha Shukurani Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki (kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga, katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamakileo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamakileo
Wadau mbali mbali katika sekta ya Utalii wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki.
Pichani ni Baadhi ya Wataalam wa mfumo wa Kielektroniki wa Zipa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Muongozo wa Uwekezaji Zanzibar na Mfumo wa Kielektroniki wa Zipa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki
Rais Dk.Mwinyi akiwaapisha Makamishna.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umaa, iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
Bi.Asha Khamis Hamad akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
VIONGOZI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj .DK. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali,wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.