Habari

Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezoimetakiwa kuweka utaratibu maalum kudhamini michezo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhakikisha Vyama vya Michezo vinakuwa na utaratibu maalum…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi amelihaidi shirika la UNICEF kua Serikali Mapinduzi ya Zanzibar itaendeleza mashirikiano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameliahidi Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto duniani (UNICEF) kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Soma Zaidi

Uteuzi

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 61(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi ameihakikishia Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanziba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameihakikishia Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Aga Khan kuwa itaratibu sheria nzuri za kuwavutia wawekezaji.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Taasisi ya Aga Khan kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane inaweka…

Soma Zaidi

Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane imeamua kufanya Mapinduzi ya kiuchumi kwa kuendeleza Uchumi wa Buluu na kuweka mkazo katika kuziimarisha sekta za huduma, ikiwemo sekta ya utalii,…

Soma Zaidi

DK. MWINYI AMEPONGEZWA NA UNICEF.

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto duniani (UNICEF) limempongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kwa kishindo na wananchi…

Soma Zaidi