Dk Shein ampongeza Kikwete kwa kusimamia vyema mchakato wa mabadiliko ya katiba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuliongoza na kusimamia kwa busara,…

Soma Zaidi

Tumedhamiria kuleta mabadiliko makubwa katika uchapishaji wa nyaraka za Serikali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuzinduliwa kwa mitambo mipya na ya kisasa ya kiwanda cha Uchapaji ni utekelezajii wa dhamira ya Serikali ya…

Soma Zaidi

Mafunzo chuo Kikuu ni lazima yalenge kutokana na michango katika utekelezaji wa malengo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar –SUZA kuhakikisha kuwa upanuzi wa mitaala, ufundishaji na tafiti…

Soma Zaidi

Jivunieni maendeleo makubwa yaliyopatikana katika sekta ya elimu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema, wakati huu Zanzibar ikiadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi, wananchi hawana budi kujivunia maendeleo makubwa yaliyopatikana…

Soma Zaidi

Zanzibar yaendelea kutekeleza dhamira ya Waasisi wa Mapinduzi 1964 kuwawezesha Wananchi kiuchumi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na kusema kuwa hatua hiyo ni muendelezo wa jitihada za Serikali ya…

Soma Zaidi

Zingatieni mafunzo ya msingi ya mwenendo wa waasisi wa Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema, katika kuyaenzi na kuyaendeleza Mapinduzi, vijana hawana budi kuzingatia mafunzo ya msingi ya mwenendo wa…

Soma Zaidi

Tatizo la maji Makunduchi limalizike haraka.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtaka Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati kwa kushirikiana na Waziri wa Fedha kuhakikisha kuwa tangi la maji…

Soma Zaidi