RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anauashuhulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12/5/2021.