Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na
kujitambulisha leo 14-4-2021, mazungumzo hayu yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar