RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisaini Kitabu cha maombelezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisaini Kitabu cha maombelezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9-2022.