RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Mahkama ya Afrika Mhe.Jaji Imani D.Aboud, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais wa Mahkama ya Afrika Mhe.Jaji Imani D.Aboud, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 7-10-2021, akiwa na ujumbe wake.