RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar, wakiongozwa na
Mwenyekiti wa Baraza hilo Bi. Khadija Jabir (kulia kwa Rais) walipofika
Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 1-12-2021.