RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziA lhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziA lhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitia ubani kuashiria kuaza kwa Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 18-10-2021 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.