State House Blog

Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika 2017 Nungwi.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar (ZANZIBAR DOOR) kwa Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman ALMarzouqi (kushoto) na Naibu katibu Mkuu wa Red Cresscent Bw.Humud Al- Junaibi (Wafadhili) katika sherehe ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017,hafla iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi cheti cha Shukurani kwa Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman ALMarzouqi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Red Cresscent Bw.Humud Al-Junaibi ambao wamefadhili mradi huo.
  • Mkuuwa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Ayoub Mohamed Mahmoud akitao salamu za mkoa wake wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto).
  • Wananchi waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017 wakisikiliza kwa makini hotuba iliyotolewa na **Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika sherehe ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017 zilizofanyika katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo **ujenzi wake umefadhiliwa na (RED CRESS CENT) kutoka Nchi za falme za Kiarabu.
  • Baadhi ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017,uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Wananchi waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017 wakifuatilia kwa makini shuhuli nzima ya sherehe hiyo ikiendelea mara baada ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Wananchi waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017 wakifuatilia kwa makini shuhuli nzima ya sherehe hiyo ikiendelea mara baada ya uzinduzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Nyumba za Vijiji za Wananchi walioathirika na Mvua za masika mwaka 2017, hafla iliyofanyika leo katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na RED CRESS CENT kutoka Nchi za falme za Kiarabu.