State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika Katika Ibada ya Sala Ya Isha na Tarawekh na Wananchi wa katika Masjid Sunna Rahaleo.

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) wakisubiri Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 21-4-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid hiyo Sheikh Ahmed Haidar Jabir.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akivuta uradi baada ya kumaliza kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar, (Msikiti wa Bachu Rahaleo) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na (kulia kwa Rais) Kiongozi wa Masjid Sunna Rahaleo Sheikh Ahmed Haidar Jabir
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika Masjid Sunna Rahaleo Jijini Zanzibar (Msikiti wa Bachu Rahaleo) wakisubiri Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa Sala ya Isha iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 21-4-2021

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amewatembelea wazee wa Sebleni Zanzibar na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  • Bi. Asaa Ali Issa akitowa shukrani kwa niaba ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makaazi ya Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto anayeshughulikia (Ustawi wa Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto ) Bi. Abeida Rashid Abdallah akizungumza wakati wa alipofika katika makaazi ya Nyumba za Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.
  • BAADHI ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdallah na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wajane ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mkurugeni Mkuu wa Taasisi hiyo Bi.Tabia Makame Mohammed,mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wajane Zanzibar.(ZAWIO) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Mgeni Hassan Juma, wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi. Tabia Makame Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Bi. Tabia Makame Mohammed,(kulia kwa Rais) wakati walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi.Tabia Makame Mohammed,mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwiny i amejumuika na waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya isha na Tarawekh Iliofanyika Masjid Magh-Fira

  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia Dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh, Ali Hemed Jabir (Maalim Aliyani) hayupo pichani baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika jana usiku 17-4-2021 katika Masjid Magh –Fira Mlandege Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia Dua ikisomwa na Imamu Mkuu wa Masjid Magh-Fira Mlandege Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabiri (kulia kwa Rais) na Ust. Kombo Bain a (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar heikh. Khalid Ali Mfaume, wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar jana usiku 17-4-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Kiislam wa Masjid Magh-Fira Mlandege Jijini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-4-2021,mazungumzo hayu yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Mhe.Abdalla Abbas Kilima, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 14-4-2021, mazungumzo hayu yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar