State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika Masjid AL Swafaa Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi kwa kushiriki katika ibada ya Swala

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Sheikh Omar Abdi Abdalla aliyetoa khutba ya Swala ya Ijumaa, Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni Wilaya ya Mjini  Mkoa Mjini Magharibi mara baada ya kujumuika na  Waumini mbali mbali katika Swala ya Ijumaa (katikati) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Masjid AL Swafaa Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi alipowasili na kushiriki katika   Swala ya Ijumaa na Waumini waliuofika katika Msikiti huo.
  • Wamini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibiwakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   wakati akizungumza na kutoa salamu kwa Waumini hao mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na Waumini wa dini ya Kiislamu wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waumini mbali mbali na Viongozi mara baada ya kujumuikanao katika Swala ya Ijumaa  katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.

Maadhimisho ya Siku ya Shukurani na Furaha kwa mlipakodi.

  • Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.Juma Malik Akili (kushoto) na Mawaziri wa katika Wizara tofauti wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika  sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi   iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja.
  • Wafanyakazi wa Mamlaka ya mapato Zanzibar ZRB wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa sherehe ya  maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi   iliyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja.
  • Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiwa ni miongoni mwa washiriki katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi   iliyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikabidhi Tunzo ya wanaotoa Ushirikiano zaidi kwa ukusanyaji kodi kwa Wilaya ya Kusini,Sheha wa Shehiya Paje Ndg,Mohamed Rajab Mzale (Shelisheli)akipokea katika sherehe ya  maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi Tunzo ya Ushindi wa Jumla katika mwaka wa fedha 2021/2022 ni Kampuni ya Zanzibar Petrolium Limited,Meneja Mkaazi Bw.Altaf Jiwan  akipokea katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi   iliyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja. (wapili kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrsa Kitwana Mustafa (kushoto) na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Sada Mkuya Salum (kulia).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi katika Maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja leo (katitkati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Sada Mkuya Salum (kulia).
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya  maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi   iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi   iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
  • Baadhi ya Walipakodi kutoka taasisi mbali mbali na Makampuni walioshiriki katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B"Unguja.
  • Baadhi ya Walipakodi kutoka taasisi mbali mbali na Makampuni walioshiriki katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
  • Baadhi ya Walipakodi kutoka taasisi mbali mbali na Makampuni walioshiriki katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Shukurani na furaha kwa Mlipakodi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya Mlipa Kodi Mkubwa wa Bodi ya Mapato Zanzibar Bwa.Actaf Jiwan wa Kampuni ya Zanzibar Petroleum, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt.Saada Mkuya Salum na Kamishna wa ZRB Ndg. Yussuf J.Mwenda, hafla ya Maadhimisho ya kusherehekea Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi kwa mwaka iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na Kamishna wa ZRB Ndg.Yussuf J.Mwenda, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022,Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • WAFANYABIASHARA wa Makampuni mbalimbali yaliyoko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022.Bodi ya Mapato Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • WAFANYABIASHARA wa Makampuni mbalimbali yaliyoko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022.Bodi ya Mapato Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022
  • WAFANYABIASHARA wa Makampuni mbalimbali yaliyoko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022.Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 29-12-2022.

Rais wa Zanzibar ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) amewatunuku wahitimu wa Mahafali ya 18 Suza.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili yaani” Doctor of Philosophy in Kiswahili” Nunuu Abdalla Mohammed, wakati wa hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili yaani” Doctor of Philosophy in Kiswahili” Nunuu Abdalla Mohammed, wakati wa hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022.
  • WAHITIMU wa Shahada ya Utabibu yaani “ Doctor of Medicine” Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakila kiapo cha Utii na Uadilifu wa kazi yao, baada ya kutunukiwa Shahada ya Utabibu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Mahafali ya 18 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022.
  • WAHITIMU wa Cheti cha Uongozi wa Fedha yaani ”Certificate in Financial Administration” wakishangia baada ya kutunukiwa Cheti katika Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-112-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa Shahada ya Usimamizi wa Teknolojia ya Habari yaani “Bachelor Degree of Information Technology Application and Management” wakati wa hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Leila Mohammed Mussa.
  • WAHITIMU wa Shahada ya Utabibu yaani “ Doctor of Medicine” Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakila kiapo cha Utii na Uadilifu wa kazi yao, baada ya kutunukiwa Shahada ya Utabibu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Mahafali ya 18 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja 28-12-2022

DK.MWINYI,AMFARIJI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo baada ya kumfariji nyumbani kwake Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo,aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) pamoja na familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto) leo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi alipofika kuifariji familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi huu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki ibada ya swala ya Ijumaa na Waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mali

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi iliyoswaliwa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi iliyoswaliwa.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Viongozi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Malindi leo mara baada ya kujumuikanao katika Swala ya Ijumaa pamoja na Waumini mbali mbali.