State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa kutoka nje

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa vyakula na bidhaa kutoka nje ya Nchi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MFANYABIASHARA Ndg. Abdulghafur Ismail Mohammed akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara waagizaji wa vyakula na bidhaa kutoka nje ya Nchi , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MFANYABIASHARA Ndg.Tofiq Salim Turky akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.