State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshikiki kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Chato Mkoani Geita

  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakifuatilia Vijana wa Halaiki wakionesha maumbo mbalimbali,wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato.
  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge, Uratibu Kazi Ajira Vijana na Wenye Ulemavu Mhe Jenista Joakim Mhagama, akizungumzawaka ti wa hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita na (kushoto) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mjane wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Mama Maria Nyerere
  • VIJANA wa Halaiki kutoka Mkoa wa Geita wakionesha onesho la Mlima Kilimanjaro ukiwa na Mwenge wa Uhuru ukimurika katika mipaka yote ya Tanzania, wakati wa Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na kumbukizi za Kifo cha Baba wa Taifa Marehemu Mwalimu Julius Nyerere na Wiki ya Vijana.hafla hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato
  • BAADHI ya Viongozi wa Dini na Wananchi wakifuatilia Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita leo 14-10-2021, mgeni rasmin akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutumia katika hafla hiyo ya Kilele ya Mbio za Mwenye wa Uhuru Kitaifa Mkoani Geita.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru, zilizofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato Mkoani Geita na (kushoto) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na Mjane wa Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Mama Maria Nyerere.