State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameyafunga Mafunzo ya Sajini (Sgt) Chuo Cha Maafisa wa Polisi Kidatu Morogoro.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Gwaride la Maalum la Wahitimu wa Mafunzo ya Sajini (SGT) Kikosi cha Bendera wakipita kwa mwendo wa pole pole, wakati wa hafla ufungaji wa mafunzo hayo yaliofanyika katika uwanja wa Chuo hicho Maafisa wa Polisi Kidatu Morogoro.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima katika Kikosi cha Bendera, wakati wa kukagua Gwaride Maalum la Wahitimu wa Mafunzo ya Sajini (SGT) wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo aliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu Morogoro 16-10-2021.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride Maalum la Wahitimu wa Mafunzo ya Sajini (SGT) katika Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu Morogoro. yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti Mwanafunzi wa Kozi ya Sajini (SGT) WP.4301, CPL. Kuruthumu Omar Mwaliza baada ya kuhitimu mafunzo yake katika Chuo cha Polisi Kidatu Morogoro, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo iliofanyika leo 16-10-2021, katika viwanja vya Chuo hicho.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti Mwanafunzi wa Kozi ya Sajini (SGT) WP.4485,CPL. Bimkubwa Zuberi Abdulhamid baada ya kuhitimu mafunzo yake katika Chuo cha Polisi Kidatu Morogoro, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo iliofanyika leo 16-10-2021,katika viwanja vya Chuo hicho.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuyafunga mafunzo ya Wahitimu wa Kozi ya Sajini (SGT) yaliofanyika katika Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu Morogoro