State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Futari aliyowaandalia ukumbi wa Suza

  • RAIS w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbu wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na kubadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Kusinbi Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe Simai Mohamed Said na Mbunge wa Jimbo la Tungu Mhe. Khalifa Salim Suleiman, wakiwa katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein (SUZA (Tunguu Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika katika ukumbi huo
  • Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohamed Said, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein(SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.