State House Blog

Riais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki swala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar Kabi na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizia hafla ya ufunguzi wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 8-10-2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango wa Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kukata utepe kuufungua rasmin leo 8-10-2021, na kujumuima na Wauminin wa Dini ya Kiislam katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa nasaha zake kwa Waislamu na Viongozi mbali mbali mara baada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo.
  • Waumini wa Kiislamu wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi uliofunguliwa leo na Rais waq Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi baada ya ufunguzi rasmi wa Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa kamati ya Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo alipowasili kuifungua Masjid hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi mara baada ya kuufungua Msikiti Masjid Tawba uliopo Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiufungua mlango wa Msikiti Masjid Tawba Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi leo.