State House Blog

Uzinduzi wa Hotel ya Golden Tulip.

  • Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Nd,Shariff Ali Shariff alipotoa taarifa ya kitaalam kuhusu Uzinduzi wa Hoteli hiyo hapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza (wa nne kulia) alipotembeleamaeneo mbali mbali katika “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” mara baada ya Uzinduzi wa Hoteli hiyo aliyoifungua leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip “ iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
  • Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar