State House Blog

Alhajj Dk. Hussein Mwinyi amejumuika na Waumini wa Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Msikiti wa Amaan

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Rajab Mohammed Faki.(hayupo pichani) kabla ya Sala ya Ijumaa
  • WAUMINI wa Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Hutba ya Sala ya Ijumaa ikisomwa na Khatibu Sheikh Rajab Mohammed Faki.(hayupo pichani) kabla ya Sala ya Ijumaa
  • WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa salamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Amaan Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziAl hajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msitiki wa Amaan Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Sheikh Rajab Mohammed Faki na Meya wa Jiji la Zanzibar Mhe. Mahmoud Mohammed Mussa