State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na waandishi wa Habari Ikulu mjini Zanzibar 31-5-2022.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Zanzibar, ikiwa ni mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari,mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar. 31-5-2022
  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri wa vyombo vya habari na Waandishi wa habari,uliofanyila leo,31-5-2022 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa Magazeti,Redio na Tv, wakimsikliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari,uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 31-5-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Zanzibar, ikiwa ni mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari,mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 31-5-2022.
  • WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa Magazeti,Redio na Tv, wakimsikliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari,uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 31-5-2022

Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika matembezi na Mazoezi ya viungo.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi ya Kilomota Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizia kwa mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja kwa mazoezi ya pamoja.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Bumbwini wakimsalimia Mke wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa akiwa katika matembezi ya kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja leo 28-5-2022. Kwa kujumuika na Wananchi na Vikundi vya mazoezi vya Mkoa wa Kaskazini Unguja katika mazoezi ya viungo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira vya Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja, kwa mazoezi ya pamoja ya viungo na (kulia kwake) Mama Asha Suleiman, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Bumbwini wakati akiwa katika matembezi ya Kilimota Tano yalioazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizia kwa mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi akiwa katika Matembezi ya Mazoezi ya viungo ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba kwa ajili ya mazoezi ya pamoja na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud,ikiwa ni muendelezo wa ratiba yake ya kila mwisho wa mwezi kujumuika na Wananchi katika matembezi na kumalizia kwa mazoezi ya viungo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizikia katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba,Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mama Asha Shamsi na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakishiriki katika matembezi hayo.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba baada ya kumaliza kwa mazoezi ya viungo yaliyoenda sambamba na matembezi ya kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizika katika viwanja hivyo kwa mazoezi ya viungo ya pamoja.
  • WANANCHI wa Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja wakishangiria wakati Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa matembezi na mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba leo 28-2022.
  • WANANCHI wa Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja wakishangiria wakati Mke wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa matembezi na mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba leo 28-2022.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja katika viwanja vya mpira Bumbwini Makoba baada ya kumaliza kwa mazoezi ya viungo yaliyoenda sambamba na matembezi ya kilomita Tano yaliyoazia katika makutano ya barabara ya Mangapwani na kumalizika katika viwanja hivyo kwa mazoezi ya viungo ya pamoja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais).

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais) alipowasili katika viwanja vya Masjid Ashuraa Umbuji Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria Sala ya Ijumaa na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Jumuiya ya Magoa Zanzibar Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2022, kwa mazungumzo na kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-5-2022, kwa mazungumzo na kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar 21-5-2022, kwa mazungumzo na kijitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Jumuiya ya Magoa Zanzibar,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-5-2022.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika sala ya Ijumaa Masjid Barwan Mlandege Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar leo 20-5-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husssein Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar akiondoka baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 20-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar leo 20-5-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Barwan Mlandege Unguja Jijini Zanzibar leo 20-5-2022.