State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na wananchi wa Mfikiwa Masjid Munawwara Sala ya Ijumaa.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa leo 29-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa Wilaya ya Chakechake Pemba leo 29-7-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mfikiwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Munawwara Mfikiwa leo 29-7-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne katika Chakula alichowaandalia Ikulu ndogo Pagali Pemba na kuwakabidhi zawadi.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Nne waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa, wakati wa chakula maalum na kuwakabidhi zawadi,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba Pemba na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mfanyabiashara Maarufu Zanzibar Bopar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Laptop Mwanafunzi Abdulhalim Rajab Ame wa Kidatu cha Nne kutoka Skuli ya Fidel Castro Pemba,wakati wa chakula maalum alichowaandalia na kuwapongeza kwa kufaulu vizuri katika mitihani yao ya Taifa, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akimpongeza Mwanafuzi wa Kidatu cha Nne wa Skuli ya Sekondari ya Fidel Castro Pemba,Kassim Khamis Omar, kwa kufaulu vizuri mtihani wake wa Taifa,wakati wa chakula maalum na kuzawadiwa zawadi Wanafunzi waliofaulu vizuri mitihani yao, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.
  • WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Sekondari Pemba wa Kidatu cha Sita na Cha Nne, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi na kujumuika nao katika Chakula cha mchana kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwapongeza Wanafunzi wa Kitadu cha Sita na cha Nne Pemba kwa kufaulu vizuri mitihani yao ya Taifa, wakati wa chakula maalum alichowaandali na kuwakabidhi zawadi katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Wilaya ya Chake Chake Pemba.
  • WANAFUNZI wa Kidatu cha Nne na Sita Pemba wakishangilia wakati wa kukabidhiwa zawadi kwa ufaulu wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Chakechake Pemba.
  • WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali za Sekondari Pemba wa Kidatu cha Sita na Cha Nne, waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi na kujumuika nao katika Chakula cha mchana kilichofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Pagali Pemba leo 29-7-2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar ameongoza matembezi na mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete Pemba

  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi, akiongoza matembezi ya mzoezi ya viungo yalioazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi.Mhe.Hamza Hassan Juma.
  • MKE wa Rais Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya kilomita 5, yaliyoshirikisha Vikundi mbalimbali vya mazoezi ya viungo vya Mkoa wa Kaskazini Pemba, yalioazia katika viwanja vya Kinyasini na kumlizikia katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Wete Pemba.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete, baada ya kumaliza matembezi hayo na mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5 yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete, na kujumuika katika mazoezi ya pamoja ya viungo na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilomita 5 yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wete, na kujumuika katika mazoezi ya pamoja ya viungo na (kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohammed Mussa na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya mazoezi ya viungo ya Kilimota 5 yaliyoazia katika viwanja vya Kinyasini na kumalizia katika viwanja vya Mnazi mmoja Wete na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi.Mhe.Hamza Hassan Juma.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Watendajiu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wake wa Majumuisho ya ziara

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutmbelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo, majumuisho yaliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • BAADHI ya Mawaziri wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake katika Mkoa huo, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Micheweni Pemba.
  • VIONGOZI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake kjatika Mkoa wa Kaskazini Pemba, uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Pemba, baada ya kumaliza ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano wake wa Majumuisho ya ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kutmbelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo, majumuisho yaliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Wilaya ya Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzibar Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea taarifa kabla ya kuaza ziara yake Wilaya Chake chake Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Mkoa wa Kusini Pemba, wakati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.Mhe.Mattar Zahro Masoud (hayupo pichani) akiwasilisha katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi. Kabla ya kuendelea na ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Pemba leo 27-7-2022. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • MAOFISA wa Serikali na wa Mkoa wa Kusini Pemba wakifuatilia Taarifa ya Utekezaji wa Kazi za Mkoa wakati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
  • MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud akiwasili taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi za Mkoa wake, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Wilaya ya Chake chake Pemba mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo cha (ZSTC) Wawi.
  • MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud akiwasili taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi za Mkoa wake, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Wilaya ya Chakechake Pemba,mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo cha (ZSTC) Wawi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa mkutano wa kupokea Taarifa ya Mkoa uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo cha (ZSTC) Wawi Wilaya ya Chakechake, kabla ya kuaza kwa ziara yake na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Masoud.