State House Blog

Dk.Hussein Mwinyi amekutana na wawakilishi wa waathirika wa Masterlife.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyikatikati)akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika kwa mazungumzo na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao.