State House Blog

Makamu Mwenyekiti wa CC y Zanzibar Mhe,Dk Ali Mohamed Shein ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar Afisi Kuu Ya CCM.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi.Lela Burhani Ngozi,alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar na (kulia kwake) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.
  • WAJUMBA wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, wakipitia makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,kilichofanyika leo kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.