State House Blog

Mkutano wa Mwaka wa Mapitio ya Program ya Huduma za Jamii kwa Wazee (Afford)

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipowasili katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD)
  • BAADHI ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) wakifuatili kwa makini uwasilishwaji wa mifumo ya Ulinzi wa Jamii barani Afrika uliotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Ujumbe wa pongezi wa Ushindi katika Uchaguzi Mkuu Uliopita Mwaka jana kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliowasilishwa na Mzee Makame Mohamed Khalfan katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar
  • BAADHI ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) wakifuatili kwa makini uwasilishwaji wa mifumo ya Ulinzi wa Jamii barani Afrika uliotolewa katika mkutano huo uliofanyika leo Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • NAIBU Balozi wa Ireland nchini Tanzania Bibi. Chloe Horne alipokuwa akitoa salamu zake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)
  • Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuufungua Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto ) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Mkutano wa mwaka wa mapitio ya wadau ya Programu ya uwajibikaji na utekelezaji wa huduma za kinga jamii kwa Wazee (AFFORD) uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano Hoteli ya Verde,Mtoni Zanzibar(katikati) Naibu Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Bibi.Cloe Horne na Mkurugenzi wa Shirika la Help AgeInternational Tanzania Nd,Smart Daniel(kulia)