State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Skauti Mkuu Mhe. Mwatum Mahiza Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Katiba ya Skauti Tanzania na Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • SKAUTI Mkuu Mhe. Mwatum Mahiza akipiga saluti baada ya kumkabidhi Katiba ya Skauti Tanzania Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Skauti Tanzania ukiongozwa na Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza akiwa na Kamishna Mkuu Msaidizi wa Skauti Zanzibar Ndg.Suleiman Takadir na Kamishna Msaidizi Skauti Zanzibar Bi. Amina Clement.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Skauti Mkuu Mhe.Mwatum Mahiza,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar