State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wahariri wa vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
  • WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
  • MWANDISHI wa habari wa Redio One na ITV Zanzibar Ndg. Faruok Karim akiuliza swali wakati wa Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) na Wahariri wa Habari na Waandishi wa Habari uliofanyika leo 5-9-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022.
  • KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akifuatilia mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari mbalimbali uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-9-2022, (kushoto kwake) Katibu wa Rais Mhe.Masoud Balozi na Dkt Haji Makame Ussi.