State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia siku ya Wafanyakazi Zanzibar katika Viwanja vya Maisara Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na wa ZATUC alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika leo 8-5-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wafanyakazi ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Zanzibar yameadhimishwa leo 8-5-2022, katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar.
  • MAANDAMANO ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani).
  • MAANDAMANO ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Wafanyakazi Zanzibar ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar leo 8-5-2022.
  • WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Masharika ya Umma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yalioadhimisha leo Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar.
  • WAFANYAKAZI wa Bodaboda wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani viwanja vya Maisara Suleiman wakipita katika jukwaa la mgeni rasmin Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bw.Kombo Hamad Kombo.
  • KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Zanzibar Bw.Khamis Mwinyi Mohammed akiwasilisa Salamu za Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar leo 8-5-2022.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Ofisi ya Zanzibar, Balozi Silima Kombo Haji (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar Kujitambulisha (kulia) Wasaidizi wa Rais