State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembela Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi na Waziri Kiongozi Mstaaf Mhe. Shamsi Nahoza

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumjulia hali leo 5/6/2021
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri Kiongozi Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha alipofika nyumbani kwake Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, alipofika nyumbani kwake Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumtembelea na kumjulia hali yake.