State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk Hussein Ali Mwinyi amejumuika katika sala ya Ijumaa na Wananchi wa Nungwi Masjid Rahma Mkoa wa Kaskazini Unguja

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi , akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Rahma Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumaliza kuzungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo katika Masjid Rahma Nungwi, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh, Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

Rais wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiani wa Saini ya Maelewano (Mou) ya Ujenzi wa Bandari Mangapwani na Mji wa Kisasa Bumbwini Zanzibar

 • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa utiaji wa Saini ya Hati ya Maelewano (MoU) kuhusu Mpango Mkuu"Master Plan " ya Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbin wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • MKURUGENZI Mkuu wa Oman Investment Authority (OIA) Bw. Sheikh.Mohammed Al Taooqi, akizungunza kabla ya kutowa maelezo mafupi ya Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • WAZIRI wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali, akizungumza wakati wa Utiaji Saini ya Maelewano (MoU) kuhusu Mpango Mkuu wa Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Maelewano (MoU) kuhusu mpango mkuu wa Ujenzi wa Bandari na Mji wa Kisasa Mangapwani na Bumbwini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Ndg. Amour Hamil Bakari na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Oman Investment Authority (OIA) Sheikh.Mohammed Al Taooqi, hafla hiyo i8mefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

 • MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Mwanasheria Mkuu Zanzibar.Dkt. Mwinyi Talib Haji na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali, wakifuatilia hutub ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika zoezi la utiaji wa saini ya maelewano ya Ujenzi wa Bandari Mangapwani na Mji wa Kisasa Bumbwini Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia)

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia) mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzinar alipohudhuria katika kikao cha wadau wa Elimu kilichofanyika

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amezungumza na wadau wa Elimu Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia michango ya Wadau wa Elimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said.
 • MDAU wa Elimu Mstaaf Mwalimu Ameir Njeketu akichangia wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • WADAU wa Elimu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa mkutano huo wa kuzungumzia hali ya Elimu Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

 • MWENYEKITI wa Chama Cha Walimu Zanzibar (ZATU) Ndg.Salum Ali Salim akiwasilisha Changamoto za Elimu kwa Walimu Zanzibar, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia michango ya Wadau wa Elimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said.
 • MDAU wa Elimu kutoka Jumuiya ya FAWE Zanzibar Dkt.Mwatima Abdalla Juma akichangia katika mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi 9hayupo pichani uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • /MDAU wa Elimu kutoka Chuo cha Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar Bi. Rose Mbwete akichangia wakati wa mkutano huo na Wadau wa Elimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • MWAKILISHI Mstaaf wa Jimbo la Paje Ndg.Jaku Hashim Ayoub akichangia katika mkutano wa Wadau wa Elimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • MWAKILISHI Mstaaf wa Jimbo la Paje Ndg.Jaku Hashim Ayoub akichangia katika mkutano wa Wadau wa Elimu Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar, baada ya kupokea changamoto zinazowakabili katika Sekta ya Elimu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yake na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Walimu na Wadau wa Elimu Zanzibar, baada ya kupokea changamoto zinazowakabili katika Sekta ya Elimu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa (wa pili kulia) mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzinar alipohudhuria katika kikao cha wadau wa Elimu kilichofanyika
 • Baadhi ya wadau wa Elimu wakiuatilia kwa makini namana ya uendeshaji wa kikao maalum kinachozungumzia uboreshaji wa masuala ya Elimu kilichofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
 • Wajumbe wa mkutano wa Wadau wa Elimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia katika mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 • Baadhi ya wadau wa Elimu wakiuatilia kwa makini namana ya uendeshaji wa kikao maalum kinachozungumzia uboreshaji wa masuala ya Elimu kilichofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia katika mkutano wa wadau wa Elimu uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu wa Kanisa la Anglikana Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi huo
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Baba Askofu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Jijini Zanzibar Askofu Michael Hafidh (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake Ndg.Edwin Mkwaya na Ndg.Luis Majaliwa, walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu