State House Blog

Kuapishwa Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Ikulu Chamwino Dodoma

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wakuu (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kumaliza kuhutubia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwake) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika viwanja vya Ikulu Chamwino
 • BAADHI ya Mawaziri na Wabunge wakifuatilia hutuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa Tanzania katika viwanja vya Ikulu Chamwino mjini Dodoma
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mjini Dodoma
 • MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango akizungumza baada ya kumaliza kula kiapo cha kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania,hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Chamwino Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe Philip Mangula ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa jijini Dodoma.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala,alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM iliofanyika leo 30-3-2021
 • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe Philiph Japhet Mangula akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma 30-3-2021, (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisoma kabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma na (kushoto kwake ) Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Dodoma
 • WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakisoma makabrasha ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kabla ya kuaza kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Japhet Mangula, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma leo 30-3-2021
 • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara MhePhilip h Japhet Mangula akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma 30-3-2021, (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika Jijini Dodoma
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdaulla, wakibadilishana mawazo wakiwa nje ya ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika 30-3-2021 Dodoma.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini kitabu cha maombolezi Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini Kitabu cha maombelezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Maguful, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesaini Kitabu cha maombolezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, alipofika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar 24-3-2021.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusaini Kitabu cha maombolezi ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesaini Kitabu cha maombelezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Maguful, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,katika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar, baada ya kumaliza kusaini Kitabu cha maombolezi ya Kifo cha Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaongoza Wananchi wa Zanzibar kuuagamwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli uwanja wa Amaa Zanzibar.

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima za mwisho kwa mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya kumuaga marehemu katika Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima za mwisho kwa mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya kumuaga marehemu katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
 • Gari Maalum la JWTZ ilioandaliwa kwa ajili ya kuchukua mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania likipita katika baranara ya Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, wakati wa kuwasili likitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kutowa heshima za mwisho kwa Wananchi wa Zanzibar.
 • Gari Maalum la JWTZ ilioandaliwa kwa ajili ya kuchukua mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania likipita katika baranara ya Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, wakati wa kuwasili likitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kuagwa.
 • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitowa heshima za mwisho kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo ya kumuaga imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
 • Gari Maalum la JWTZ ilioandaliwa kwa ajili ya kuchukua mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania likipita katika baranara ya Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, wakati wa kuwasili likitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati wa kuwasili kwa mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ulipowasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuangwa na Wananchi wa Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
 • MAKAMANDA wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa hayati John Pombe Magufuli lilipowasili katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa heshima za mwisho kwa Wananchi wa Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati wa kuwasili kwa mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ilipowasili Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuangwa na Wananchi wa Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
 • Maalum ya JWTZ ilioandaliwa kwa akili ya kuchukua mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ikipita katika baranara ya Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, wakati wa kuwasili ikitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kutowa heshima za mwisho kwa Wananchi wa Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziMhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati wa kuwasili kwa mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,ilipowasili Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuangwa na Wananchi wa Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
 • GARI Maalum ya JWTZ ilioandaliwa kwa akili ya kuchukua mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ikipita katika baranara ya Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, wakati wa kuwasili ikitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kutowa heshima za mwisho kwa Wananchi wa Zanzibar.
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama wakati wa kuwasili kwa mwili wa Hayati John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ilipowasili Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuangwa na Wananchi wa Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitowa heshima za mwisho kwa mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya kumuaga marehemu katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
 • MAKAMANDA wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa hayati John Pombe Magufuli walipowasili Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar kwa ajili ya kutowa heshima za mwisho kwa Wananchi wa Zanzibar.
 • WANANCHI wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • ASKARI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kumuaga Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • WANANCHI wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
 • WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya mazishi Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt.Jon Pombe Magufuli katika uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi wa Zanzibar katika hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
 • WANANCHI wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya kuuaga mwili wa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk Husseina Ali Mwinyi amehudhuria kikao cha Kamati Kuu ya Ccm na kusaini kitabu cha maombolezi Afisi za CCM Lumumba

 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufu, aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Afisi ya CCM mtaa wa Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
 • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdalla Juma Sadala Mabodi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara. Ndg. Rodrick Mpogoro, alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Lumumba kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Taifa